JSPM

  • ESM via JSPM
  • ES Module Entrypoint
  • Export Map
  • Keywords
  • License
  • Repository URL
  • TypeScript Types
  • README
  • Created
  • Published
  • Downloads 39
  • Score
    100M100P100Q22749F
  • License ISC

NPM package for providing easy access to regional, district, ward, and street data in Tanzania, including postcodes.

Package Exports

  • tz-geo-data
  • tz-geo-data/index.js

This package does not declare an exports field, so the exports above have been automatically detected and optimized by JSPM instead. If any package subpath is missing, it is recommended to post an issue to the original package (tz-geo-data) to support the "exports" field. If that is not possible, create a JSPM override to customize the exports field for this package.

Readme

🗺️ Tanzania Geolocation Data

Karibu kwenye tz-geo-data, npm package hii kwa data za geo data za Tanzania. Package hii ni maalumu kwa taarifa zifuatazo

  • Mikoa
  • Wilaya
  • Kata
  • Mitaa
  • postkodi za eneo

1. Installation

Tumia amri hii kusanikisha maktaba:

npm install tz-geo-data

2. Matumizi

a. Kwa kutumia import

import tzGeoData from "tz-geo-data";

// List ya mikoa
tzGeoData.getAllRegions();
// List za wilaya katika mkoa
tzGeoData.getRegionData("JinaLaMkoa");
// List ya kata katika wilaya husika
tzGeoData.getWardsInDistrict("jinaLaMkoa", "jinaLaWilaya");
// List ya mitaa katika kata husika
tzGeoData.getStreetsInWard("jinaLaMkoa", "jinaLaWilaya", "jinaLaKata");
// Data kutokana na postkodi
tzGeoData.searchByPostcode("postikodi");

b. Kwa kutumia require

const tzGeoData = require("tz-geo-data");

// List ya mikoa
tzGeoData.getAllRegions();
// List za wilaya katika mkoa
tzGeoData.getRegionData("JinaLaMkoa");
// List ya kata katika wilaya husika
tzGeoData.getWardsInDistrict("jinaLaMkoa", "jinaLaWilaya");
// List ya mitaa katika kata husika
tzGeoData.getStreetsInWard("jinaLaMkoa", "jinaLaWilaya", "jinaLaKata");
// Data kutokana na postkodi
tzGeoData.searchByPostcode("postikodi");

3. Tafsiri ya baadhi ya jumbe

"Mkoa haukupatikana"

  • Jina la mkoa si sahihi

"Wilaya haukupatikana"

  • Jina la Mkoa au Wilaya si sahihi

"Mitaa haikupatikana"

  • Jina la Mkoa, Wilaya au Kata si sahihi

"Hakuna eneo lenye postikodi hii"

  • Namba ya postikodi si sahihi. Andika postikodi kwa usahihi