Package Exports
- tz-geo-data
- tz-geo-data/index.js
This package does not declare an exports field, so the exports above have been automatically detected and optimized by JSPM instead. If any package subpath is missing, it is recommended to post an issue to the original package (tz-geo-data) to support the "exports" field. If that is not possible, create a JSPM override to customize the exports field for this package.
Readme
🗺️ Tanzania Geolocation Data
Karibu kwenye tz-geo-data, npm package hii kwa data za geo data za Tanzania. Package hii ni maalumu kwa taarifa zifuatazo
- Mikoa
- Wilaya
- Kata
- Mitaa
- postkodi za eneo
1. Installation
npm i tz-geo-data
2. Matumizi
a. Kwa kutumia import
import {
getAllRegions,
getDistrictData,
getWardData,
getStreetsData,
getGeoData,
} from "tz-geo-data";
// List ya mikoa
getAllRegions();
// List za wilaya katika mkoa
getDistrictData("JinaLaMkoa");
// List ya kata katika wilaya husika
getWardData("jinaLaMkoa", "jinaLaWilaya");
// List ya mitaa katika kata husika
getStreetsData("jinaLaMkoa", "jinaLaWilaya", "jinaLaKata");
// Data kutokana na postkodi
getGeoData("postikodi");
b. Kwa kutumia require
const {
getAllRegions,
getDistrictData,
getWardData,
getStreetsData,
getGeoData,
} = require("tz-geo-data");
// List ya mikoa
getAllRegions();
// List za wilaya katika mkoa
getDistrictData("JinaLaMkoa");
// List ya kata katika wilaya husika
getWardData("jinaLaMkoa", "jinaLaWilaya");
// List ya mitaa katika kata husika
getStreetsData("jinaLaMkoa", "jinaLaWilaya", "jinaLaKata");
// Data kutokana na postkodi
getGeoData("postikodi");
3. Tafsiri ya baadhi ya errors
Tunategemea kila kitu kiwe sawa ila ukikutana na magumu hizi zitakusaidia
getAllRegions()
- "Imeshindwa kupata list ya mikoa"
- Futa node caches na ufanye installation ya library upya
getDistrictData()
- "Wilaya haukupatikana katika mkoa"
- Hakikisha jina la mkoa ni sahihi
- Kwa mikoa yenye nafasi kama dar zingatia nafasi au tumia (-)
getWardData()
- "Mkoa haukupatikana"
- Hakikisha jina la mkoa ni sahihi
- "Wilaya haikupatikana katika mkoa"
- Hakikisha jina la wilaya ni sahihi
- "Hakuna kata katika wilaya"
- Kata ndani ya Wilaya hazikupatikana
getStreetsData();
- "Mkoa haukupatikana"
- Hakikisha jina la mkoa ni sahihi
- "Wilaya haikupatikana katika mkoa"
- Hakikisha jina la wilaya ni sahihi
- "Hakuna kata katika wilaya"
- Kata ndani ya Wilaya hazikupatikana
- "Mitaa haikupatikana katika kata"
- Mitaa ndani ya kata haikupatikana
getGeoData()
- "postcode si sahihi"
- Namba za postikodi si sahihi
- Namba za postikodi ziwe kuanzia mbili hadi tano